WAC-5
MAUDHUI

Dhana ambazo zitaunganisha kila mmoja wa WAC5 katika vipindi mbalimbali vya mambo yanayoendelea kuibuka hapa chini na orodha ya masomo ambyo yanahusummadeleo duni. Baadhi yao wamekwisha waendea waadaaji wa mada ambao wamejitolea kuyasimamia ili kuyafanikisha. Wengine wametoa ushauri na mawazo ambayo bado hayajaunganishwa pamoja. Hivyo tunaangalia wawezeshaji wanaoweza kuratibu dhana hizo au kutoka vipindi vya watu mbalimbali. Kitakuwa na wawezeshaji angalau wawili ambo watawakilisha nchi mbili au zaidi. Kila kipindi kitahusishwa na kutumia mawazo ya WAC kwa kuwahusisha washiriki kutoka nchi mbalimbali tatu na zaidi.Kila WAC5 itawekwa katika mawasiliano kwa njia ya komputa, mtandao wa (internet) ili kupata mawazo ya jamii nzima.Baadhi ya maudhui yamekwisha kufafanuliwa vyema na wawezeshaji ambao itakuwa rahisi kuzungumza nao ana kwa ana na jamii yajinsi wazo litakavyokuwa. Mada nyingine zimebaki bila kfafanuliwa hivyo tunakaribisha mawazo yenu kwa jinsi ipi yaonekana na kuoneshwa au kubadilishwa.

MAWAJO YANAYOJITOKEZA

  • Maudhui haya
  • utunzaji imani
  • Hifadhi, kuibana, kukusanya na utuzanji za takwimu, urithi, mahali tukufu na
  • kubukumbu ya umma
  • watu walio asili kwaza
  • matokeo ya mabadiliko ya mazingiraAkiolojia ya jamii
  • Elimu
  • Mafunza ya utaalam
  • Utali
  • Ukusanaji na uteka nyra
  • Akiolojia iliyo baharini
  • Akiolojia iloyio tenda haki kwenye jamii
  • Akiolojia ya kisasa

MAHUDHUI YALIOYOPENDEKEZWA

Sehemu za wazi, binafsi, jamii na mipangiliyo ya ndani kwa watu. Ufumbuzi wa kijamii kwa muda uliopita, jinsia, rangi, umri, matabaka, kazi.Siasa ya uwakilishi; Uchoraji wa sanamu, mambo yakinifu, Kubuniwa utambulisha: Teknologia sahihi, ya sasa na baadaye. Akiolojia ambayo in tekelzwa, akiolojia na utamadhuni na kutambua katika matendo katika mambo mbalimbali ya jamii.

Katika hatua ya baadaye bodi ya mtandao wa internet uliyoandikishwa iliyoanzishwa kwa kila wazo la WAC-5, ili kwezesha mazungumzo ya wazi kuhusu dhana hiyo. Mazungumzo itawezeshwa kwa kuoneshwa na kila mmoja wa mhusika wa dhana.

WAC-5